Watch Kalonzo for president 2012 politics

Kalonzo, for, president, 2012, politics, East Africa, Standard, Kenya, News, Breaking News, features, sex, money, business, sports, health, media Kalonzo for president 2012 politics


Siasa za kuunda miungano ya kisiasa zinaendelea kushika kasi huku wanasiasa wakirejea mashinani kutoa mwelekeo wa kisiasa kwa jamii zao. Makamu wa rais Kalonzo Musyoka aliongoza wabunge tisa katika mkutano wa kisiasa huko kitui kupigia debe chama cha ODM Kenya. Huko pwani wabunge wanne wakiongozwa na waziri wa uvuvi amason kingi wamesema mkoa huo unahitaji kutambulika kisiasa naye mbunge wa Eldoret Kaskazini William Ruto akiendeleza sisasa za muungano wa G7 huko Meru.
Upload by KTN News Kenya channel id: UCKVsdeoHExltrWMuK0hOWmg , BYMFKN9J13k.

Post a Comment

0 Comments