Watch Story ya mtoto wa miaka 3 aliebakwa na baba yake mzazi na kuvunjwa mkono

baikoko dance, baikoko 2016, new baikoko, mapouka, leumbeul, leumbeul 2016, chakacha, baikoko live, baikoko tanga, baikoko tanzania, kanga moko Story ya mtoto wa miaka 3 aliebakwa na baba yake mzazi na kuvunjwa mkono


Wakina mama jamani muichukue hii kama fundisho tabia ya kwenda kuwasusia wakinababa watoto sio nzuri kabsaa.Watoto wanafanyiwa vitendo vya kikatili sana hata kama mzazi mwezio kakataa kumlea mtoto jitahidi umlee mwanaa mwenyewe utakacho kula kula na mwanao hujapata mliwaze ni mtoto wako huyo,umembeba tumboni miezi tisa kuja kumlea ndio ushindwe kweli??

Kuna tukio la kikatili limemtokea mtoto wa miaka mitatu mkazi wa Mwananyamala jijini Dar es salaam ambapo mtoto huyo amebakwa na kulawitiwa na babayake mzazi.Vilevile mtoto huyo amekutwa amepigwa sana na amevunjwa mkono na huyo babayake.

Kwa mujibu wa bibi mzaa baba wa mtoto huyo anasema mtoto alikuwa akiishi kwa mamayake na aliletwa na mamayake akamkabidhi kwa babayake bila yeye kushirikishwa.

Bibi anasema huwa anamsikia mwanae akiwa kama anamfunidhso mtoto kwa sauti kubwa huku akifoka lakini akijaribu kugonga mwanae huja juu na kumtolea matusi ya nguoni na kumwambia asimuingilie na familia yake.

Dada wa duka la dawa ambaye niye aliyeweza kutumbua jibu mpaka kugundulika vitendo vya kinyama anavyofanyiwa mtoto huyo anasema baba alimleta mtoto akiwa anahitaji dawa ya maumivu ya kuchua ya mtoto huku akidai mtoto amechapwa shuleni.Dada huyo anasema dawa ya kuchua haifai kwa mtoto lakini baba huyo alin’gan’gania ndipo dada huyo akachukua uamuzi wa kumuuliza boss wake ambaye alikuwa ndani.Dada anasema Boss wake alichukua uamuzi wa kumchukua mtoto na kumuangalia vizuri ndipo wakagundua kuwa mtoto ameumia sanaa.

Ndipo akatoka nakuanza kumhoji vizuri na baba huyo akasema amempiga kwakua alikuwa anamfundisha home work Na anaishi nae mwenyewe mamayake amemtelekeza.

Mtoto kwa sasa yupo katika Hospitali ya Mwananyamala akiendelea na matibabu na baba wa mtoto amefikishwa Polisi Ostarbay.

Jitihada za kutafutwa mama wa mtoto mzazi wa mtoto bado zinaendelea kwani bibi amesema hajui mama huyo anapoishi
Upload by Bongo255 channel id: UCvXuNfTJgiMXjcNGHcwSoLg , auAvgK1mg1U.

Post a Comment

0 Comments